Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Friday, January 24, 2014

KIMATAIFA: Sister wa kwanza wa Kiitaliano kupata mimba duniani.

 

Inaelezwa kwamba sister aliyezungushiwa duara anae kwenda kwa jina la Roxana Rodriguez ndo yule aliyejifungua mtoto wa kiume hivi karibuni na kumuita Francis.

Sister huyu ameuushangaza ulimwengu pamoja na masister wenzake kwa kudai kwamba hakujua kwamba ni mjamzito.

0 comments:

Post a Comment