Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Friday, January 24, 2014

BREAKING NEWS: Blandina Chagula a.k.a Johari yu maututi.


 Johari

Mwana Dada na mwigizaji mkongwe Blandina Chagula maarufu Johari ni mgonjwa na amelazwa katika moja ya hospitali maarufu hapa jijini.
Kwa mujibu wa blogu ya mwigizaji Deogratious Shija, ndugu wa karibu wa Johari ameshindwa kuweka wazi ni hospitali gani ambayo Johari amelazwa, na kusema kuwa wanashindwa kusema mahali alipolazwa Johari kutokana na usumbufu wa waandishi wa habari .
" kwakweli Johari anaumwa sana na tunaomba dua zenu tu" Alisema ndugu huyo wa johari.
Marehemu Kanumba, Johari pamoja na Ray.


Johari ni kati ya wasanii wakike wa mwanzoni kabisa, kung'ara katika tasnia ya filamu na tamthiliya, huku akipata nafasi ya kucheza na manguli wenziwe wa tasnia hiyo, kama marehemu Kanumba, Jb pamoja na Ray.

0 comments:

Post a Comment