Ni baada ya kupost kwenye mitandao ya kijamii, pica ya PNC alipokuwa anamuomba msamaha... Wengi wamekitafsiri kitendo hiki kama unyanyasaji na dharau. Hizi ni baadhi ya comment;
- Anold Osca Mpuuzi sana huyo na mshenz mkubwa,huo n udhalilishaji wagombne kvyao kwann wacmalzane kvyao. Pumbav sana huyo
- Magreth Nemens Ni ushamba na ulimbukeni,huwezi pigiwa magoti ukaona sawa,tena ukapublish,mwenye haki ya kupigiwa magoti ni Mungu peke yake,acheni kujisahau binadamu,tunamkosea Mungu sn
- Schostica Bilomo Bitala mungu pekee ndo wakuabudiwa na kusujudiwa leo pinc atakupigia magoti ila kumbuka Mungu anaweza mbariki Pinc kesho wewe ndo ukampigia magoti tena ukawa choka mbaya mpaka kufa kwako kuweni na hofu ya mungu sio uungwana
- Mwanjesa's Daughter analitumia jina vibaya la ustadh.yy ni.mganga wa kienyeji huko kwao.uustadh kautoa waaapi
- Mwajuma Mwamed uyu jamaa nimshamba sasa kupost picha kama ii sisi inatuusu nn.ayo ni mambo yao binafsi kiukweli.amejishusha kupost picha kama ii yani uyu ni mshamba wa mwisho,pole sana pnc muungwana akivuliwa nguo asimami uchutama,
- Jumanne Dinongo Mpuuzi Sana huyu, LAKINI KWA ALICHOKIFANYA MUNGU ATAMSHUSHA NA DOGO MUNGU ATAMUINUA AISEE,
- Frankie G Odomali Useless promoter..hana HEKIMA...kwanza wanazuga tu huo upromota wako na ishu zao zingine ni vile nao baadhi ya wasanii hawana Elimu ya management khs kazi zao thats why yanawakuta haya....
- Al Hadji Kadu Unapoombwa msamaha si kwamba mungu alikuchagua wewe tu uwe nazo ila alimaanisha kuwa kila riziki ya mwanadamu inapitia kwa mwanadamu (mungu alimaanisha hivi PNC anatakiwa kupata riziki yake na alishamuandikia ila alitaka PNC aipate kupitia Ostadhi Juma, ila si kwamba juma ndio kila kitu bali mwenyezi ndio alipendekeza hivyo na ndio maana tunaajiliwa kufanya kazi kwamaana mungu ndipo alipoziweka riziki zetu kwa hao waajili wetu) Ostadhi Juma usijisahau we pia mwanadamu hujafa hujaumbika haya ni mapito ya dunia tu...... Imeniuma saaaaana
- Mwaka Saimon Ostaz juma kasahau kama dunia mapito wote tupo chn ya jua shauliz zako ucje sahau kuwa kesho na ww unaweza kuja piga magot kwa pnc mwachen mung aitwe mung
- Thoya la Baya huyo Juma anasumbuliwa na ukosefu wa elimu laiti angekua amesoma hangefanya ulibukeni kama huo.alafu ajue anayetoa Mola kwa iyo asishangae akajafilisika kama mr.Nice kwani pesa ni kama mau yaweza nyauka anytime.
- Nyambari Thoms ujue mwanzo hakuw na pesa sasa kazipata ndo hayo matatizo yanayomsumbua.UPUNGUFU WA ELIMU
- NeyBaby Lipembe Maskini akipata dunia nzma watajua.ushamba tu huo wameombana msamaha huko yy anakuja kutangaza fb.hzo zilipendwa
- Frank William kuanzia anayeomba msamaha mpaka anayeombwa wooote washamba na wapumbavu.....huyu msanii hajitambui anajidhalilisha sanaaa sijui.atakua lini aiseeeee
- Rich Nova yan binafs imenkera xana tunakosa kwa Mungu lkn hatimpigii magoti hiv yan,,yee ni nan hasa bas tu
- Violeth Kilasi mh nakoment kwajili ya PNC lakn huyo bwege mwenyewe anayejifanya ni Mungu hata simfahamu...for sure amekosa hekima busara na hata elimu naona hana. alichofanya si ustarabu na kwa jins hyo hata demu wake ajiangalie anaweza kuja mtoa ktk mitandao ya kijamii akiwa mtupu maana kuonesha jamii anavoombwa msamaha ni kama anajitukuza.we binadamu kumbuka Mungu pekee ndie wa kusujudiwa na sio wewe. PNC uwe na aman maadam adhma yako imetimia ambayo ni kuomba msamaha
- Godfrey Leka ametokea upande mmoja na gari kuonesha yeye ana pesa, upande wa pili anapigiwa magoti kumaanisha yeye ni mkubwa bosi. haya ila amesahau kuwa hyo gari ni toyota cjui grandee?, gari tunazotumia maskini, kwa hyo hana lolote ndo maana anajitia tia ukubwa uso maana, nsingetegemea angehamia dar mambo hayo labda huko kjijini kwao alikotoka here in town we dont live in such style, shame on u juma
- Arafa Mbaruku Cjawah kutakana fb hata cku 1 lakn leo na2kana Ostaz juma na musoma ni msenge kabsaa tena shoga kumamae zake yaan amenkera km nn!
- Lina Brayton kumbe huyu msenge ndo ostaz juma na musoma mweeeeee alifikili anamdharilisha PNC kumbe kajivua nguo mwenyewe .
- Hussein Mgaya Useless...! Manless....! Pumbavless....! Jingaless....! Dat Iz Privt Issue na Alitakiwa Kukubal au Kukataa Sio Kumuanika Mskikaj Kama Hvyo....! Hakuna wakusjudiwa ni Allah Pekee...!
- Ronnie Schulte Huo ni kutokujitambua nikianza na Pnc yeye kama msanii,anapaswa kuwa na meneja, wa kufatilia program zote za msanii, hapa ni PNC as a boss na meneja as mwajiriwa, bt sasa imekuwa ni kinyume na utaratibu, and also huyu jamaa sijui anajiita Ustadh, ni mjinga sana, anaonyesha wazi kuwa anapenda kutukuzwa, tena watu kama hawa ni majizi sana wa kazi za wasanii.Hii iwe ni fundisho kwa wasanii wetu kuwa hawa mameneja wanatakiwa kuwa chini yao, nikimaanisha lazima mameneja waajiriwe na wasanii, hata kama by that time msanii hayupo vzr kifedha bt hizo fedha zitakuja kupitia production za msanii. Fundisho hilo kwa wote wasanii..
- Upendo Kway Kaja kukuomba ww msamaha sisi unatuonyesha ya nini. Kuchelewa mjini nako kuna shida jaman
- Lupyana Konga Jama msenge kinoma,nainavyoonesha ni maskin kapata matako yamelia mbwata,mjinga huyo ni udhalilishaji huo anajiona mjanja kumbe lofa kama malofa wengine tu, pole p n c.
- Fatma Wa Hashim kwanza mtu mwenyewe wa hovyo hafanani ata na hizo sifa za kuombwa msamaha.pili anadhalilisha jina la ostaz kwani si muugwana
- Hissan Salum Iddi Kuna kipindi pia alipost akiwauliza rafiki zake facebook eti "jamani dogo janja kaniomba msamaha ananibembeleza sana kiukweli dogo ananitia huruma ukizingatia maisha yake yalivo magumu. . Vipi nimsamehe licha ya yote aliyonifanyia?" Sijashangaa kwa hili huyu jamaa inaonekana alikuwa na dhiki sasa kabahatisha visenti kidogo. . Na nyie wasanii hebu jifunzeni kusimama kwa miguu yenu. . We PNC ni msanii mkongwe sana toka kipindi kile ungeweza jijenga na kuwainua wengine angalia sasa kwa njaa zenu mnaaibika !
Posted in:
0 comments:
Post a Comment