Didah katika pozi.
Yule msanii maarufu kisiwani Zanzibar, Didah Rasheed amelalamika kuchafuliwa na blog inayojulikana kama Mpekuzi, iliyozichukua baadhi ya picha zake kutoka kwa msanii Manaiki, na kuziweka mtandaoni jambo ambalo anakiri wazi kuwa linamtesa sana na limemfanya asiwe huru katika makazi yao huko Zenji.Kwasasa msanii huyu yupo Dar es salaam ili tu kuipumzisha nafsi yake baada ya kashfa hiyo nzito.
0 comments:
Post a Comment