Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Tuesday, August 6, 2013

Glorius Celebration, yaachia nyimbo tatu.

Ni lile kundi la nyimbo za Injili, ambalo lilivuma kwa nyimbo kama Niguse na Eeh roho, ambapo kwasasa Rais wa kundi hilo amesema kuwa, wadau wao wakae mkao wa kula kwani wameachilia vibao vitatu vikali kwa pamoja.

0 comments:

Post a Comment