Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Thursday, September 19, 2013

Johari na Chuchu, watwangana kisa penzi la Ray.

 Ray
HATARI! Waigizaji wenye majina makubwa Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ na Chuchu Hans wanadaiwa kuchapana kisa kikidaiwa kuwa ni penzi la mwigizaji, Vincent Kigosi ‘Ray’
Chuchu Hans.

Kwa mujibu wa chanzo chetu makini ambacho ni rafiki wa karibu wa wasanii hao, tukio hilo lilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya Ofisi za RJ Productions, zinazomilikiwa kwa ubia wa Ray na Johari zilizopo Sinza-Mori jijini Dar ambapo Johari alikuwa akimtuhumu Chuchu mambo mazito ya kimapenzi kwa Ray.
Shushushu huyo alitonya kuwa, siku ya tukio Johari na wasanii wenzake walikuwa wakirekodi filamu ndani ya hoteli moja (jina tunalo) iliyopo jirani na ofisi hizo ndipo alipofikishiwa umbeya kuwa Chuchu yuko kwenye ofisi hizo ‘akijiachia’ na bosi mwenzake (Ray), jambo lililotia ganzi moyoni mwa mdada huyo.

Johari

Ikumbukwetu kua kipindi mwanadada Johari alishawahi kana kuwa na mahusiano na Ray, sasa ni vipi apigane na Chuchu sababu ya mtu huyo huyo? swali kwako.
Kiapo cha Johari

0 comments:

Post a Comment