Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Tuesday, November 26, 2013

Kikwete amkubali Nikki wa pili waziwazi.







Nikki wa pili

Dkt.Kikwete


Dkt. Kikwete
Leo huwenda ikawa ni siku ya pekee sana kwa mwana Hip Hop Nikki wa pili, baada ya kupata nafasi ya kutoa hutuba ya dakika 8 na sekunde kadhaa mbele ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete aliyekuwa mgeni rasmi kwenye hitimisho la semina za FURSA zilizokuwa zikifanywa katika mikoa mbalimbali.

Dkt.Kikwete alionyesha wazi kufurahishwa na hotuba hiyo fupi iliyokuwa ikielezea tafiti mbalimbali zilizofanywa na Nikki akishirikiana na Clouds Media Group, katika harakati za kumkomboa kijana wa Kitanzania. 

Hitimisho hilo la semina za FURSA lilifanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee.

0 comments:

Post a Comment