Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Monday, November 25, 2013

Zitto amwagiwa sifa baada ya kunyimwa tonge Chadema.




Mheshimiwa Zitto Kabwe

Siku moja baada ya Zitto Kabwe kuvuliwa madaraka ya uongozi katika chama chake cha CHADEMA, na kusema kuwa hana mpango wa kuhama chama hicho, wanachadema wameinuka na kumpongeza sana kiongozi huyu kijana na wengi kusema kuwa, hizo ndizo siasa zinazohitajika hapa nchini.

0 comments:

Post a Comment