Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Friday, December 27, 2013

BURUDANI: Mziwanda aitambulisha video yake mpya EATV.



Nuh Mziwanda Chachalundoa

Kijana mwenye sifa ya umahiri wa kupiga picha na kutokelezea vilivyo, Nuh Mziwanda leo ameitambulisha video yake mpya ya nyimbo aliyoipa jina la OTEA NANI, EATV .

Mwanamuziki huyu chipukizi ni baadhi ya wanamuziki wachche waliyoweza kuibuka na kuzikonga nyoyo za Watanzania ndani ya mwaka 2013.

0 comments:

Post a Comment