Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Monday, December 2, 2013

Producer Mtanzania aliyeirudisha kwenye mstari Homeboyz Production ya Kenya

Khery Sappy

Producer anayetokea Mwanza, Khery Sappy ndiye producer mkuu wa Homeboyz Production kwa sasa. Alienda huko kusomea uproducer kwenye chuo kinachomilikiwa na kampuni ya Homeboyz lakini baada ya kuonesha uwezo mkubwa, alipomaliza alibakizwa chuoni hapo kama mkufunzi na pia producer wa Homeboyz.

Tangu hapo tayari Sappy amekuwa producer mkubwa nchini Kenya huku akiwa ametengeza hits kibao ukiwemo Badder Than Most wa Redsan ambao baadaye ulikuja kufanyiwa remix na kushirikishwa msanii wa Jamaica, Demarco.

Pamoja na Redsan, Sappy ameshatengeneza nyimbo kibao za Prezzo ukiwemo Celebration of Life na Marry Marry ambao alimshirikisha pia.

0 comments:

Post a Comment