Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Thursday, April 24, 2014

'Kuzungumza na wewe' yampakibali Gadiel Mpungu kwa Waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania

 Gadiel Mpungu akiwa na Keke Folo

 Gadiel Mpungu akiwa na John Lissu.

 Chavala, Gadiel Mpungu na Boniphace Magupa

Gadiel Mpungu akiwa na Emmanuel Mabisa wa GWT.

Baada ya kuachia nyimbo yake ya 'Tumekuja Bwana kuzungumza na wewe', mwimbaji wa nyimbo za Injili Gadiel Mpungu ambae pia ni blogger wa blog hii pendwa, amezidi kupata kibali kwa wanamuziki wenzie waliyomtangulia katika tasnia hiyo.

Jambo hili lilijidhihirisha wazi hivi majuzi kwenye Tamasha la Pasaka, ambapo Gadiel alionekana akizungumza na waimbaji wengi maarufu wa nyimbo za Injili, pamoja na kupiga picha na wanamuziki hao tofauti tofauti.

Nyimbo hii ambayo kwasasa inachezwa katika redio mbalimbali, imeonekana kupendwa sana na watu wengi ambao wamekuwa wakimpigia simu na kumtumia meseji za pongezi na kumtakia mafanikio tele katika uimbaji wake, mwimbaji huyu.

0 comments:

Post a Comment