Decoration & Catering Services

Decoration & Catering Services

Boutique

Boutique

Tuesday, April 22, 2014

Rose Muhando azidi kutengwa na waimbaji wenzie.


Inawezekana hulijui hili, ila hali halisi ndiyo hii, kuwa wanadada Rose Muhando, anayetamba na vibao vyake vikali kama Nibebe na Facebook & Twitter, anatengwa sana na wanamuziki wenzie wa muziki wa Injili, hususani wanawake.

Aidha suala hili si la kumtisha mwanamama huyu kwani hivi majuzi kwenye tamasha la Pasaka, alionekana akiwa na wacheza shoo wake, ili hali chumba alicho pangiwa kuketi akisubiri zamu yake ya kuitwa jukwaani, ndicho alichopangiwa Upendo Nkone na Upendo Kilahiro.

Hata hivyo hakuna aliyelithibitisha hili, bali ni tathimini ya mwandishi wetu.

0 comments:

Post a Comment